Main fundraiser photo

George Sebo - Funeral

Donation protected
Kwa niaba ya familia ya George Sebo na Chama cha Mapinduzi DMV, tunasikitika kutangaza kifo cha mwenykiti wa CCM DMV Mhe. George Sebo.
Taratibu za mazishi zinaendelea na tutawapa taarifa.
Kufarijiana ni mila yetu, tafadhali mpe taarifa mwingine.
Msiba uko 1801 St. Georges Way, Bowie, MD 20721. 
unaweza kutoa pole kwa mke wa marehemu Mrs. Grace Mgaza Sebo (202) [phone redacted]
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Amen
Donate

Donations 

    Donate

    Organizer and beneficiary

    Secelela Malecela
    Organizer
    Pasadena, MD
    Jessica Mushalla
    Beneficiary

    Your easy, powerful, and trusted home for help

    • Easy

      Donate quickly and easily

    • Powerful

      Send help right to the people and causes you care about

    • Trusted

      Your donation is protected by the GoFundMe Giving Guarantee