FREE MASKS FOR ALL ZANZIBARIS CAMPAIGN
Donation protected
We, the Zanzibari Women Global Initiative (ZAWGI) have come together to support Zanzibaris during this challenging period of the COVID-19 Pandemic. It is extremely important that all Zanzibaris, our friends and supporters come together as a community to support families in Zanzibar. We are starting this "Free Cloth Face Masks For All" campaign and we need your help to make this happen!
All donations will be used to buy materials such as fabric, bags and sewing supplies to make cloth face masks in Zanzibar. These funds will also supply tailors and volunteers with gloves and sanitizers. The masks they make will be distributed to families in Unguja and Pemba in every corner of the islands. Distribution will be done in collaboration with Public Health Centres.
Please join us in this campaign. Together we can save Zanzibaris lives.
IT CAN BE DONE, PLAY YOUR PART - NO DONATION IS TOO SMALL For more information, please contact ZAWGI: [email redacted], Attention Ummu Shamte and Shahida Hamad, Canada.
Thank You - Blessings to All
=====================
KAMPENI YA BARAKOA BILA YA MALIPO KWA WANZANZIBARI WOTE Sisi, Wazanzibari Wanawake Duniani (Zanzibari Women Global Iniative - ZAWGI) tumejumuika kuwasaidia Wazanzibari wakati huu mgumu wa janga la COVID-19. Ni muhimu sana kwa Wazanzibari, marafiki zetu, na wanaotuunga mkono kuja pamoja kama jamii kusaidia familia visiwani Zanzibar. Tunaanzisha kampeni ya “Barakoa Bila ya Malipo kwa Wote” na tunahitaji msaada wenu ili tufanikishe lengo letu.
Michango yote itatumiwa kununua zana kama vitambaa, mifuko na vitu vya ushonaji kutengeneza barakoa visiwani Zanzibar. Pesa zitatumiwa pia kuwasaidia washoni na watakaojitolea kupata glovu na vitu vya kuweka usafi (sanitizers). Barakoa zitapelekwa kwa familia wanaoishi sehemu zote za visiwani, Unguja na Pemba. Tutashirikiana na Vituo vya Umma vya Afya katika harakati za usambazaji wa barakoa. Tafadhali jiungeni nasi kwenye kampeni hii. Pamoja, tunaweza kuwasaidia Wazanzibari kuokoa maisha yao.
INAWEZEKANA; SHIRIKI – HAKUNA MCHANGO MDOGO
Kwa maeleozo zaidi, wasiliana na ZAWGI at [email redacted], Iwafikie Ummu Shamte na Shahida Hamad, Canada.
Asanteni - Mwenyezi Mungu awabariki nyote

Fundraising team: ZAWGI (5)
Ummu Shamte
Organizer
Scarborough, ON
Shahida Hamad
Team member
Fatma Shamte
Team member
James Denas
Team member
Saleh Shamte
Team member