LIBERATUS SAUTI YA DIASPORA 2015
Donation protected
NAOMBA MSAADA WAKO KUWEZESHA KAMPENI ZANGU ZA UBUNGE 2015 JIMBO LA MBARALI
Nawaita na kuwaomba rafiki zangu wote wa diaspora na ndani ya Tanzania kunisaidia kwa hali na mali kunipeleka Dodoma. Natambua wazi kuna agenda za diaspora ambazo wana diaspora wamekuwa wakizipigania kwa muda mrefu; mfano, uraia pacha, diaspora kupiga kura, fursa za kujiandikisha kupiga kura kwenye balozi zetu, diaspora policy n.k. Hizi agenda zinahitaji msemaji ndani ya Bunge na sio lobbying peke yake. Diaspora mmepata mpiganaji.
Kwa mchango kupita "WAVE" App ( M-PESA) Tumia number hii 255 752 494 409
Naitwa Liberatus Mwang'ombe, mzaliwa wa Kijiji cha Chimala wilayani Mbarali, mkoa wa Mbeya. Elimu yangu ni BSc Respiratory Care na MSc (Public Health). Nilipata shahada hizi United States of America.
Naamini kabisa ili mabadiliko yatokee kila moja wetu anatakiwa kuwa sehemu ya mabadiliko. Pia naamini sio kila mabadiliko huleta maendeleo; lakini, ni lazima kuwe na mabadiliko ili kupata maendeleo. Nimeamua kuwa sehemu na mshiriki wa mabadiliko kwa vitendo.
Naamini ya kuwa, elimu na afya ni mahitaji ya msingi ya kila binadamu na hakuna Mtanzania anapaswa kupoteza maisha kwa sababu hawezi kumudu huduma za afya. Naamini elimu ni urithi pekee kwa mtoto wa Tanzania, hivyo basi, kuwa masikini au tajiri sio kigezo cha kukosa au kupata elimu. Naamini elimu ni haki ya kila Mtanzania.
Naamini changamoto za maji, ardhi, miundombinu, michezo, uongozi bora n.k. ndio misingi ya maendeleo kwa taifa lolote. Naamini katika uhuru wa kuongea, uhuru wa mawazo na haki za binadamu za kuzaliwa, mfano, haki ya kuishi. Naamini binadamu wote ni sawa bila kujali jinsia, kabila, tabaka wala rangi ya ngozi yake.
Zaidi, naamini rasimu ya Jaji Joseph Sinde Warioba inapaswa kurudishwa Bungeni na kujadiliwa nje ya itikadi zetu. Wantanzania wanastahili katiba mpya inayo lingana na mazingira ya sasa na wakati.
Hii ni misingi ambayo ninaisimamia wakati wote wa maisha yangu na nita fanya hivyo pindi wananchi watakapo nipa ridhaa hapo October 25, 2015.

Kwa mawasiliano napatikana hapa 255 716 633 708
Blog: http://liberatusmwangombe.blogspot.com
Fecebook
https://www.facebook.com/liberatus.mwangombe
UNITED WE STAND: DIVIED WE FALL

Organizer
Liberatus Mwang'ombe
Organizer
Bowie, MD