Main fundraiser photo

Nyamizi Funeral Fund

Donation protected
Msiba DMV na Tanzania.
Nyamizi Nasibu Hatunae Tena!

Nyamizi Nasibu ( Mdogo wake Salima Moshi) amepoteza maisha usiku wa jana  24 September, Washington Hospital Center.

Kwa kifupi: Marehemu Nyamizi alikuwa mlezi wa watoto wetu hapa DMV.  Nyamizi amelea watoto wengi kwa upendo na maadili ya kitanzania.

Familia, Ndugu  na Marafiki Tunaomba mchango wako wa hali na mali, ili kufanikisha kuupeleka mwili wa Marehemu kwenda kumpumzisha nyumbani Tanzania. 

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Donate

Donations 

  • Aniectus Temba
    • $100
    • 6 yrs
Donate

Organizer

Lisa Bantu
Organizer
Washington D.C., DC

Your easy, powerful, and trusted home for help

  • Easy

    Donate quickly and easily

  • Powerful

    Send help right to the people and causes you care about

  • Trusted

    Your donation is protected by the GoFundMe Giving Guarantee