Nyamizi Funeral Fund
Donation protected
Msiba DMV na Tanzania.
Nyamizi Nasibu Hatunae Tena!
Nyamizi Nasibu ( Mdogo wake Salima Moshi) amepoteza maisha usiku wa jana 24 September, Washington Hospital Center.
Kwa kifupi: Marehemu Nyamizi alikuwa mlezi wa watoto wetu hapa DMV. Nyamizi amelea watoto wengi kwa upendo na maadili ya kitanzania.
Familia, Ndugu na Marafiki Tunaomba mchango wako wa hali na mali, ili kufanikisha kuupeleka mwili wa Marehemu kwenda kumpumzisha nyumbani Tanzania.
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Organizer
Lisa Bantu
Organizer
Washington D.C., DC